LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 27, 2020

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU KATIKA ZIARA YA KICHAMA DAR ES SALAAM

d3050702-f7e6-4dab-a549-16128ea8f38d
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  Juni 26,2020 alipokuwa kwenye ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

07271df8-6eb1-4a28-af69-7f4f1e3b64ca
Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika Ofisi ya DMDP Magomeni  Jijini Dar es Salaam  Juni 26,2020. 

0c1711ab-40d2-436c-beed-9bbf70cef47b
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni  alipowasili katika Ofisi ya DMDP Magomeni Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam Juni  26,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM. Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages