LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI NA WATUMISHI WAANDAMIZI WA OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 06,2020 katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia), akizungumza na Viongozi na Watumishi waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 06,2020 katika ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azan Zungu Nje ya ukumbi wa Mikutano wa Kambarage Jijini Dodoma baada ya kumaliza kuzungumza na  Viongozi na Watumishi  waandamizi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Baaraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) leo Juni 06,2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages