LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2020

TAASISI YA ANDALUSIA NA GROUP YA HAPPY HANDS YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA MADAKTARI NA WAUGUZI VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI SABA

 Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sofia Mjema vifaa mbalimbali vikiwemo vya kujikinga na CORONA kwa Madaktari na Wauguzi vyenye thamani Sh. Milioni Saba
 
   Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay (kushoto)  akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia mjema wenye dhamani ya Sh. Milioni Saba uliotole kwa niaba ya Taasisi hiyo vikiwemo vifaa vya mavazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa CORONA. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


  Mkuu wa Wilaya ya Bi. Sophia Mjema (kulia) akimsaidia kumvisha vazi ya kujikinga wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa CORONA Mratibu wa Jinsia Ilala Ofisi ya Mganga Mkuu wa Manispaa Rehema Mzungu. kushoto ni Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay

Mkuu wa Wilaya Bi. Sophia Mjema (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay 
 Mwenyekiti wa mafunzo kitengo cha wanawake Bi, Khadija Ali Alwi akizungumza jambo mara baada ya kukabidhi vitu mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya Bi. Sophia Mjema msaada wenye thamani ya Milioni Saba uliotolewa na Taasisi hiyo alisema. 
 Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema akizungumza jambo mara baadaya ya kupokea msaada




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages