LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2020

MKUU WA WILAYA ILALA BI. SOPHIA MJEMA AISHUKURU TAASISI YA ASSAS TRUST YA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema (kushoto) akiishukuru Taasisi ya Assas Trust kwa michango yao wanayoendelea kutoa kupitia Ofisi yake kama ambavyo leo Mei 19, 2020 wameto nyakula mbalimbali kwa Kaya 150 kwa wenye uhitaji, kulia ni mfanyakazi wa kujitolea wa Taasisi hiyo  Abdulhakim Bayakubu
 Baadhi ya wawakilishi wa Taasisi ya Assas Trust wakishusha mifuko ya vyakula eneo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya kumkabidhi Mkuu wa Wilaya kwa malengo kuwafikia wananchi wenye uhitaji 150
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema (kulia) akiishukuru Taasisi ya Assas Trust kwa misaada wanayoendelea kuito mara kwa mara na kuwaombe kwa Mungu awazidishie pale walipoto Mungu awaongezee maradufu,  
 Mifuko yenye nyakula mbalimbali   

 Mfanyakazi wa kujitolea wa Taasisi ya Assas Trust  Abdulhakim Bayakubu akizungumza na mwandishi wa MAHAASIN TV Sheikh Mungia wakati wa utoaji wa misaada hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam Bi. Sophia Mjema 
  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema (kushoto) akizungumza na mwandishi wa  MAHAASIN TV mara baada ya misaada kuipokea, kulia ni mfanyakazi wa kujitolea  Abdulhakim Bayakubu
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na jopo la wafanyakazi na Bodi ya Taasisi ya Assas Trust 
Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya Assas Trust Yahaya Dosa akizungumza jambo na  mwandishi wa MAHAASIN TV Sheikh Mungia wakati wa utoaji wa misaada hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilaa Jijini Dar es Salaam Bi. Sophia Mjema 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages