LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 8, 2020

NAIBU SPIKA TULIA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto), akizungumza jambo wakati alipofungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsi Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja akimkaribisha mgeni rasmi, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, katika mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma
Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu akizungumza wakati alipokuwa akitoa utangulizi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma.  Kulia ni Mgeni Rasmi, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Umoja wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja wakimsikiliza Mtoa mada kutoka chuo kikuu cha Dodoma Dkt. Godfrey Sansa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages