LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2020

MAREKANI YAZIDI KUONGOZA KWA WAGONJWA WENGI WA CORONA DUNIANI

Waombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.


Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWaombolezaji katika mazishi mjini New York huku visa vya virusi vya corona katika mji huo vikiongezeka kwa siku ya tatu mfululizo.

New York state sasa ina visa vingi vya virusi vya corona zaidi ya taifa lolote duniani , kulingana na takwimu mpya.
Serikali imethibitisha kwamba idadi ya visa vya ugonjwa huo imeongezeka kutoka 10,000 siku ya Alhamisi hadi 159, 937 na kuiweka mbele ya Uhispania ilio na visa 153,000 na Itali ilio na visa 143,000.
China ambapo virusi hivyo vilianza mwaka uliopita iliripoti visa 82,000. Marekani yote imerekodi visa 462,000 na takriban vifo 16,500.
Kote duniani kuna takriban visa milioni 1.6 na vifo 95,000.
Huku Jimbo la New York likiongoza ulimwengu katika visa vya maambukizi , takriban watu 7000 wamefariki katika mji huo , ikiwa nyuma ya Uhispania ilio na vifo 15,500 na Itali ilio na 18,000 ikiwa ni mara mbili ya vifo vya China 3,300.
Picha zimeonekana za watu waliovalia magwanda ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona wakiwazika watu walioifariki katika kaburi kubwa la pamoja mjini New York.

Picha zilizochukuliwa kutoka juu zilionyesha miili ikizikwa katika kaburi moja kubwa la pamoja katika kisiwa cha Hart mjini New YorkHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTakriban majeneza 40 yalizikwa siku ya Alhamisi

Picha zilizochukuliwa na kamera za juu zilionyesha wafanyakazi wakitumia ngazi kuingia katika kaburi hilo kubwa ambapo majeneza hayo yalikuwa yamewekwa.
Picha hizo zilichukuliwa katika eneo la Hart Island kando ya mji wa Bronx , ambao umekuwa ukitumika kwa zaidi ya miaka 150 na maafisa wa baraza la mji kama eneo la makaburi ya pamoja kwa wale wasio na familia na wasioweza kumudu mazishi.
Operesheni za mazishi katika eneo hilo zimeongezeka kutokana na mlipuko wa virusi kutoka siku moja kwa wiki hadi siku tano kwa juma, kulingana na Idara magereza.
Wafungwa kutoka kisiwa cha Rikers ndio ambao wamekuwa wakifanyakazi hiyo, lakini ongezeko la kazi limefanya kazi hiyo kuchukuliwa na wanakandarasi.
Meya wa mji wa New York Bill De Blasio amesema mapema wiki hii kwamba maziko ya umma ya mji huo huenda yakatumika wakati wa mlipuko huu.
Ukweli ni kwamba tumetumia Kisiwa cha hart kwa muda mrefu., alisema.
Idadi ya vifo vya virusi vya corona mjini New York viliongezeka hadi 799 siku ya Jumatano , ikiwa ni rekodi kwa siku ya tatu mfululizo.

Banner

Dkt Anthony Fauci, mwanachama wa jopo la Ikulu ya Whitehouse kuhusu virusi vya corona , aliambia NBC , kipindi cha leo kwamba idadi ya mwisho ya Wamarekani ambao watafariki kutokana na virusi vya corona huenda ikafikia 60,000.
Mwisho wa mwezi Machi Dkt Fauci alikadiria kwamba kati ya watu 100,000 na 200,000.
Utabiri huo wa 60,000 ulitarajiwa kufikia idadi ya vifo vyote vinavyosababishwa na Flu nchini humo kati ya Oktoba 2019 hadi Machi 2020 kulingana na data ya serikali.
Lakini makamu wa rais Mike Pence alisisitiza siku ya Alhamisi kwamba maambukizi ya Covid -19 ni mara tatu yale ya Flu.

Picha zilizochukuliwa kutoka juu zilionyesha miili ikizikwa katika kaburi moja kubwa la pamoja katika kisiwa cha Hart mjini New YorkHaki miliki ya pichaREUTERS

Ikulu ya Whitehouse ilikuwa imesema kwamba huenda Wamarekani milioni 2.2 wakafariki kutokana na virusi vya corona iwapo hatua hazitachukuliwa.
Agizo la kusalia nyumbani wakati huohuo limefunga bishara zisizo muhimu katika majimbo 42 huku likipunguza kasi ya uchumi wa taifa hilo.
Data mpya siku ya Alhamisi ilionyesha ukosefu wa ajira uliongezeka hadi milioni 6 kwa wiki ya pili mfululizo , ikiongeza idadi ya Wamarekani ambao hawako kazini katika kipindi cha wiki tatu zilizopita kufikia milioni 16.8.
Wakati huohuo Chicago imeweka amri ya kutouzwa kwa pombe kuanzia saa tatu siku ya Alhamisi ili kuzuia ukiukaji wa marufuku ya kupiga marufuku mikutano ya watu wengi.

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 10 Aprili 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.
Jumla ya visa vilivyothibitishwaJumla ya vifo
1,570,85895,736


VisaVifo
Marekani465,16116,650
Uhispania153,22215,447
Italia143,62618,279
Ujerumani118,2352,607
France86,33412,210
Uchina82,9243,340
Iran66,2204,110
Uingereza65,0777,978
Uturuki42,282908
Belgium24,9832,523
Uswizi24,051948
Netherlands21,7642,396
Canada20,747509
Brazil18,176957
Ureno13,956409
Austria13,244295
Korea Kusini10,450208
Urusi10,13176
Israel9,96886
Sweden9,141793
India6,725227
Ireland6,574263
Norway6,219108
Australia6,15252
Chile5,97257
Denmark5,635237
Poland5,575174
Jamuhuri ya Czech5,569112
Japan5,53099
Peru5,256138
Romania5,202248
Ecuador4,965272
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan4,60166
Malaysia4,22867
Ufilipino4,076203
Mexico3,441194
Indonesia3,293280
Saudi Arabia3,28744
Luxembourg3,11552
Milki za Kiarabu2,99014
Serbia2,86766
Panama2,75266
Finland2,60542
Thailand2,47333
Qatar2,3766
Jamuhuri ya Dominica2,349118
Colombia2,22369
Ugiriki1,95587
Afrika Kusini1,93418
Singapore1,9106
Argentina1,89479
Ukrain1,89257
Misri1,699118
Algeria1,666235
Iceland1,6486
Belarus1,48616
Croatia1,40720
Morocco1,37497
Moldova1,28929
New Zealand1,2832
Iraq1,23269
Estonia1,20724
Slovenia1,12443
Lithuania99916
Hungary98066
Azerbaijan9269
Armenia92110
Kuwait9101
Bahrain8875
Bosnia na Herzegovina85835
Cameroon80312
Kazakhstan8029
Mili ya Diamond Princess71211
Slovakia7012
Puerto Rico68333
Macedonia Kaskazini66330
Tunisia64325
Bulgeria61824
Latvia5893
Andorra58325
Uzbekistan5823
Lebanon58219
Cyprus56410
Costa Rica5393
Cuba51515
Afghanistan48415
Uruguay4737
Oman4573
Cote d'voire4443
Burkina Faso44324
Niger41011
lbania40923
Honduras38223
Taipei ya China3805
Ghana3786
Jordan3727
Kisiwa cha Reunion362
Malta3372
San Marino33334
Bangaldesha33021
Mauritius3147
Kyrgystan2985
Nigeria2887
Bolivia26819
Maeneo ya Wapalestina2631
Vietnam255
Montenegro2522
Senegal2502
Georgia2183
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo21520
Guinea194
Guernsey1915
Sri Lanka1907
Isle of Man1901
Kosovo1845
Kenya1847
Mayotte1842
Visiwa vya Faroe184
Jersey1833
Venezuela1719
Martinique1546
Guadeloupe1438
Djibouti1401
Brunei Darussalam1351
Paraguay1296
Guam1284
Guatemala1263
Gibraltar123
Cambodia119
Rwanda113
Trinidad and Tobago1098
El Salvador1036
Madagascar93
Monaco841
Guiana ya Ufaransa83
Aruba82
Liechtenstein781
Mali747
Togo733
Barbados663
Jamaica634
Congo605
Ethiopia562
Uganda53
Polynesia ya Ufaransa51
Netherlands Antilles508
Visiwa vya Virgin vya Marekani501
Bermuda484
Visiwa vya Cayman451
Gabon441
Bahamas418
Zambia391
Guyana376
Guinea_Bissau36
Eritrea33
Saint Martin (Eneo la Ufaransa)322
Liberia314
Haiti302
Myanmar273
Benin261
Tanzania251
Libya241
Syria192
Angola192
Antigua na Barbuda192
Maldivers19
Equitorial Guinea18
New Caledonia18
Mozambique17
Mongolia16
Dominica16
Jamuhuri ya kidemokraia ya watu wa Lao16
Fiji16
Namibia16
Sudan152
Netherlands Antilles141
Saint Lucia14
Botswana131
Somalia121
Grenada12
St St Vincent na Gradines12
Eswatini12
Chad11
Saint Kitts na Vevis11
Visiwa vya Kaskazini vya Mariana112
Greenland11
Zimbabwe113
Ushelisheli11
Suriname101
Mili ya MS Zaandam92
Nepal9
Montserrat9
Belize91
Jamuhuri ya Afrika ya Kati8
Malawi81
Vatican8
Turks nad Visiwa vya Caicos81
Cape Verde71
Nicaragua71
Sierra Leone7
Mauritania71
Saint Barthélemy6
Visiwa vya Falkland5
Bhutan5
Gambia41
Milki ya Magharibi mwa Sahara4
Sao Tome and Principe4
Sudan Kusini3
Burundi3
Visiwa vya Virgin vya Uingereza3
Anguilla3
Papua News Guinea2
Yemen1
Timor_Leste1
Saint Pierre na Miquelon1


Chanzo: Chuo kikuu cha Johns Hopkins (Baltimore, Marekani), maafisa wa eneo
Mara ya mwisho kufanyiwa mabadiliko 10 Aprili 2020, 07:00 GMT +1.

Mada zinazohusiana

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages