Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee akichangia jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mawaziri Mbali mbali washiriki Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇