LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 9, 2020

KIPA WA LIVERPOOL AGOMA KULA BATA

   Kipa wa Liverpool Alisson Becker raia wa Brazil amegomea kula bata wakati wa mapumziko na badala yake anaendelea kufanya mazoezi kujiweka fiti.

Mlinda mlango huyo ana jumla ya Clean Sheet 30 tangu aanze kuitumikia timu ya Liverpool.


Wakati huu wa mapumziko anaendelea kupiga tizi na timu ya Fluminense ya Brazil.

Inaelezwa kuwa kila siku anaonekana mazoezini kwenye timu hiyo akiwa na kakaye Muriel ambaye anaidakika timu ya Rio De Janeiro ya Ligi Kuu ya Brazil.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages