Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
UTANGULIZI
Shukrani
1. Mheshimiwa Naibu Spika, kwanza kabisa, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuhitimisha shughuli zote zilizopangwa katika Mkutano huu wa Kumi na Nane wa Bunge lako Tukufu tukiwa buheri wa afya. Aidha, kwa kuwa huu ni Mkutano wa kwanza tangu mwaka huu uanze, ninakutakia wewe Mheshimiwa Naibu Spika, Mheshimiwa Naibu Spika, Waheshimiwa Wenyeviti wa Bunge, Waheshimiwa Wabunge wenzangu, watumishi wa Bunge na Watanzania wote Heri ya Mwaka Mpya 2020.
Salamu za Pole
2. Mheshimiwa Naibu Spika, kwa masikitiko makubwa naungana na Waheshimiwa Wabunge wenzangu kutoa salamu za pole kwa Wananchi wa Jimbo la Newala Vijijini, kwako, kwa Bunge lako Tukufu na kwa familia ya Mbunge Rashid Ajali Akbar, aliyefariki inaendelea..>>>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇