LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 3, 2020

POLISI WATATU WAFARIKI DUNIA NA WENGINE TISA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI, NJOMBE




  Askari watatu wa Jeshi la Polisi Mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwemo gari la polisi ambalo lilikuwa likipeleka askari Lindoni. RPC Njombe Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages