KIUNGO
mshambuliaji, Owe Bonyanga Ituku akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashndano
ya Yanga SC, Hersi Said baada ya kuwasili nchini kutoka kwao, Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kujiunga na timu hiyo baada ya
kuchezea klabu mbalimbali kwao ikiwemo TP Mazembe ya Lubumbashi. moja
kwa moja ataungana na kikosi kilichopo Zanzibar kinachoshiriki Kombe la
Mapinduzi.
Kulia
ni Meneja wa Owe Bonyanga Ituku, Mutuale Nestoresangule kwa pamoja na
Injinia Hersi Said, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya
GSM
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇