Kiungo
Ibrahim Ajibu akiwaongoza wenzake baada ya kikosi kuwasili kisiwani
Pemba jana tayari kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo
inatarajiwa kuanza leo huku mabingwa hao wa Tanzania wakicheza mechi yao
ya kwanza kesho kwa kumenyana na Zimamoto Saa 10:15 Uwanja wa Gombani,
mchezo ambao utarushwa LIVE na Azam Sports 2
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇