Mshambuliaji
wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira kwenye
mazoezi ya klabu yake, vwanja vya Bodymoor Heath, jirani na Kingsbury,
Kaskazini mwa Warwickshire.
Samatta
aliyesajiliwa Aston Villa wiki hii kwa dau la Pauni Milioni 10 kutoka
KRC Genk ya Ubelgiji anatarajiwa kuanza kazi rasmi katika klabu yake
hiyo mpya Jumanne itakapomenyana na Leicester City katika Kombe la Ligi
England
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇