RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Jengo la Michezani
Mall Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar.Mhe.Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo imefanyika katika
viwanja vya michezani Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za
kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia
Abdiwawa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Hassan Khatib
Hassan (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi, wakielekea katika jengo la Sheikh
Thabit Kombo kwa aajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo hilo ikiwa
ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed
Ramia Abdiwawa, alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa
Maduka ya Kisasa Michezani Mall na Jengo la Sheikh Thabit Kombo wakati
wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la jengo hilo linalojengwa na
Kampuni kutoka China ya CRJE, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Viongozi wa Kampuni ya Ujenzi ya CRJE kutoka Nchini
China, aliposiki katika viwanja vya Michezani Mall, kwa ajili ya Uwekaji
wa Jiwe la Msingi la jengo hilo, ikiwa ni shamrashara za Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akimsikiliza Meneja wa Mipango, Uwekezaji na Utafiti wa Mfuko wa Hifadhi
ya Jamii Zanzibar.(ZSSF) Ndg. Abdulazizi Ibrahim Iddi akitowa maselezo
ya michoro ya picha ya jengo la Michezani Mall, wakati wa hafla ya
Uwekaji wa Jiwe la Msingi,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56
ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na
Mipango Zanzibar.Mhe Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya jengo hilo michezani Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇