Muonekano wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya
Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax ni
shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein, akikata utepe kuashiria kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari
Zanzibar zilizojengwa Unguja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa
Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya
Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na
Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi wa Skuli ya
Kiembesamaki.Ndg Issa Masoud akitowa maelezo, wakati Rais wakati
akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli hiyo ya Sekondari, (kushoto
kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe
Juma, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi
Issa, wakati akitembelea darasa la Komputa katika Skuli hiyo baada ya
kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja
na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kuadshimisha
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha na IKULU).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇