Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) wakiwa katika kikao cha kamati hiyo
ambapo walikutana na watendaji wa Shirika la Reli linalomilikiwa na
Tanzania na Zambia (TAZARA) kwenye Ofisi za Bunge Jijini Dodoma hii leo.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)Dkt.Raphael Chengeni
akiongoza kikao cha kamati hiyo ilipokutana na watendaji wa Shirika la
Reli linalomilikiwa kwa ubia baina ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kwenye
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇