LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2019

WAPENDA VIGODORO WATAKIWA KUJITAFAKARI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, amezitaka jamii zinazoendekeza mila na desturi, zinazochangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi, zikiwemo Vigodoro na Chagulaga kujitafakari.
Waziri Mhagama ameyabainisha hayo Mwanza, alipozungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, ambapo amewaomba wadau mbalimbali kuangalia namna ya kuzibadilisha mila hizo ili kuweza kusaidia juhudi za Serikali, katika mapambano ya ugonjwa wa Ukimwi na Virusi vyenyewe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages