LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2019

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA RAIS WA NAMIBIA

Rais Magufuli amempongeza Rais wa Namibia Hage Geingob kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Nchi hiyo na kusema hiyo ni ishara tosha ya kuwa Watu wa Namibia wana Imani kubwa kwake
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais Magufuli ameandika

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages