Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally, leo asubuhi Desemba 2, 2019 amewasili kisiwani Pemba kwa jili ya ziara ya siku tatu akitokea Kisiwani Unguja alikohitimisha ziara yake ya siku sita, jana jioni.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha Uhai wa Chama, kukagua miradi na kuimarisha mahusiano baina ya Chama na Serikali na kuendelea kukifanya Chama kuwa karibu zaidi na wananchi.
Your Ad Spot
Dec 2, 2019
KATIBU MKUU WA CCM DK. BASHIRU AWASILI KISIWANI PEMBA, LEO
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This
About Bashir Nkoromo
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇