KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa,akivishwa Skafu na Vijana Maalum wa UVCCM baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Jimbo la Jang’ombe Matarumbeta Unguja.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa,akizungumza na kutoa salamu za Chama Cha Mapinduzi kwa Vijana na Wanachama mbali mbali walioshiriki katika mapokezi yake katika Mkoa wa Mjini kichama
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Ndugu Talib Ali Talib akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally katika Mkoa wa Mjini kichama.
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mjini katika mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha CCM Unguja.
Your Ad Spot
Nov 30, 2019
ZIARA YA DK. BASHIRU MKOA WA MJINI, ZANZIBAR
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This
About Bashir Nkoromo
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇