LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 14, 2019

UONGOZI WA TBS WATEMBELEA ZFDA ZANZIBAR LEO

Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Athuman Ngenya (wanne kutoka kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA), Dkt. Burhani Othman Simai (wanne kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TBS na ZFDA mara baada ya kutembelea ofisi ya ZFDA mapema leo, Unguja Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages