LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2019

RAIS MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA ''MY LIFE PURPOSE'' CHA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMINI MKAPA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki hafla ya uzinduzi rasmi wa kitabu cha Historia ya maisha ya Mhe. Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.Kitabu kianitwa "MY LIFE MY PURPOSE"

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages