LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2019

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AONGOZA SEMINA KUHUSU NAFASI YA BUNGE KATIKA MAPINDUZI YA LISHE NCHINI JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Agri Thamani Foundation, Mhe. Mizengo Pinda alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na Viongozi  kutoka Agri thamani Foundation Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Agri Thamani Foundation na Kiongozi wa Msafara, Mhe. Mizengo Pinda, Mkurugenzi Mtendaji, Ndg. Neema Lugangira (katikati) na Mwenyekiti wa Kikundi cha Wabunge Vinara wa Lishe, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dunstan Kitandula (kulia)
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza semina kuhusu nafasi ya Bunge katika Mapinduzi ya Lishe nchini iliyofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Semina hiyo ilihudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Agri Thamani, Mhe. Mizengo Pinda (kulia kwake), Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge, Kikundi cha Wabunge Vinara wa Lishe, Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya UKIMWI na Sekretariat ya Kamati ya Uongozi ya Bunge

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages