Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiakisalimiana na Mbunge wa Mbunge wa Manyoni
Magharibi, Yahaya Masare, kwenye Jengo la Utawala Bungeni jijini
Dodoma, Novemba 13, 2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sumbawanga Mjini,
Aeshi Hilaly na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani kikwete. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,
Innocent Bashungwa,Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Arusha, Joyce Mukya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Mbunge wa Ndada, Sesil
Mwambe (chini kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni
jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
Dkt. Edalardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama(chini kushoto) akijadili jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki (juu kushoto) na
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa(kulia),Bungeni jijini
Dodoma, Novemba 13, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Hamad Masauni, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba
13, 2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akiakisalimiana na Mbunge wa Sikonge, Joseph
Kakunda, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 13, 2019.
Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇