Sadio
Mane (kulia) akishangilia na beki Virgil Van Dijk baada ya kuifungia
Liverpool bao la tatu dakika ya 51 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya
Manchester City kwenye Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo. Mabao
mengine ya Liverpool yamefungwa na Fabinho dakika ya 6 na Mohamed Salah
dakika ya 13, wakati la Man City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya
78. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 34 baada ya kucheza
mechi 12 na sasa inawazidi pointi tisa mabingwa watetezi, Manchester
City ambao wanaporomoka hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya
England wakizidiwa pointi moja na zote Leicester City ya pili na
Chelsea ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Your Ad Spot
Nov 11, 2019
Home
Unlabelled
LIVERPOOL YAICHAPA MA CITY 3-1 NA KUIPOTEZA KABISA KWENYE MBIO ZA UBINGWA
LIVERPOOL YAICHAPA MA CITY 3-1 NA KUIPOTEZA KABISA KWENYE MBIO ZA UBINGWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇