LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2019

DC APSON AONGOZA MSAKO WA WAVUVI HARAMU WILAYANI MWANGA

Sehemu ya ndoo 20 za samaki wachanga zilizokamatwa leo katika operesheni ya kuwanasa wavuvi haramu iliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson. Amesema kwa ushirikiano wa Idara ya Uvuvi pamoja na wasamaria wema hawatoacha mpaka kitakapoeleweka..

Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson (kushoto) akiangalia badhi ya samaki waliokamatwa wakati wa oparesheni iliyofanyika wilayani humo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages