LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2019

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA BANDA LA TBS MAONESHO YA BARAZA LA UWEZESHAJI LA TAIFA MKOANI SIMIYU


Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akipatiwa  maelezo na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano cha Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Roida Andusamile (wa pili kulia) kuhusu shirika hilo linavyowahudumia Wajasiriamali wakati wa kilele cha  Maonesho ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa yaliyofanyika mkoani Simiyu kuanzia Oktoba 14 hadi 20 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages