LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 24, 2019

TBS YAWAPIGA MSASA WAFANYABIASHARA KUHUSU UTARATIBU WA KUSAFIRISHA NJE YA NCHI MAZAO YA KILIMO NA VYAKULA

 Mkurugenzi wa Upimaji na Ugezi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mhandisi Johanes Maganga akifungua semina ya wasafirishaji wa  mazao ya kilimo na vyakula kwenda nje ya nchi, katika Ukumbi wa Anatoglo Dar es Salaam jana. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wafanyabishara  150, imelenga katika kutoa elimu juu ya utaratibu wa kufuata wakati wa kusafirisha bidhaa hizo na elimu hiyo imetolewa kwa kushirikisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tan Trade, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda  na Biashara.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages