Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani
Songwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Mbozi wakati akitoka kuweka jiwe la msingi mradi
wa uboreshaji wa huduma ya maji Vwawa mkoani Songwe.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
vikundi vya ngoma za asili kabla ya kuwahutubia wananchi wa Vwawa mkoani
Songwe.
Wananchi
wa Mbozi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia katika mji wa Vwawa.
Waziri
wa Kilimo Japhet Hasunga akicheza ngoma ya kiasili wakati kikundi cha
Vwawa kikitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa Momba (Chadema) David Silinde mara baada ya
kuwahutubia wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa
Vwawa mkoani Songwe. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇