LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2019

NAIBU SPIKA AKIONGOZA KIKAO CHA BODI YA MRADI WA KULIJENGEA BUNGE UWEZO JIJINI DAR

 Naibu Spika wa Bunge na Mwenyekiti mwenza wa Bodi ya Mradi kulijengea Bunge Uwezo (Legislative Support Project-LSP II) Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bodi  hiyo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Naibu Spika ni Mwenyekiti mwenza wa Bodi hiyo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bi. Christine Musisi. Wengine katika kikao hicho ni Wajumbe wa Bodi hiyo kutoka pande zote mbili.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages