Bendi ya Kanisa la Roman Catholic (RC) Bariadi Simiyu ikitumbuiza kabla ya kuingia ukumbini
Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) Agnes Mtawa (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka wakati Mkuu wa Mkoa huo alipokuwa akizungumza katika Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019. wapili kushoto ni Mwenyekiti Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Abner Mathube na Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Paul Magesa.
Afisa Mikopo, Wauguzi Saccos Hawa Lubuva akizungumza na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) leo Octoba 01, 2019.Katika viwanja vya Kusekwa sekondari.
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Paul Magesa (kushoto) akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka kuingia katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Kusekwa iliyopo Mkoani humo. kuanzia kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Festo Dugangi na Muuguzi Mkuu wa Mkoa huo Evelina Lushekya.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akipokea maandamano ya Wauguzi yaliyoongozwa na Bendi ya Kanisa la Roman Catholic (RC) Bariadi Simiyu akiwa na viongozo mbalimbali
Wauguzi wakiwa katika maandamano
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Paul Magesa akizungumza jambo wakati wa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019.
Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) Agnes Mtawa akizungumza na washiriki Wauguzi kutoka Mikoa yote ya Tanzania (hawapo pichani) walioshiriki Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019.
Mwenyekiti Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Abner Mathube na MC wa shughuli hiyo
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Festo Dugangi akizungumza katika Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) Mkoa Simiyu leo Octoba 01, 2019.
Baadhi ya washiriki wa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza jambo katika Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Paul Magesa (kulia) akizungumza na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka
Tatibu Mkuu Chama cha Wauguzi Tanzania Sebastian Luziga akisoma risala ya Chama hicho katika Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019.
Tatibu Mkuu Chama cha Wauguzi Tanzania Sebastian Luziga akimkabidhi risala Mkuu wa Mkoa Simiyu Anthony Mtaka
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akizungumza na washiriki wa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa Hall leo Octoba 01, 2019
Kwanza namshukuru Mungu kwa kuwezesha kufika katika Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) uliofanyika Ukumbi wa Kusekwa leo Octoba 01, 2019.alisema;
Afisa Muuguzi Ezrom Nyamtogota akizungumza na mwandishi wa habri mara baada ya kufunguliwa Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 47 wa Wauguzi (TANNA AGM) na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka uliofanyika katika Ukumbi wa Kusekwa leo Octoba 01, 2019.
Nipo hapa Simiyu kwa adhma kubwa ya Mkutano wetu na kujadili maslahi pia na taaluma ambayo tumekuwa tukipitia wauguzi
Kipekee na changamoto tunazo zipitia huwa tukiziripoti kuona tunawezaje kuweka mazingira rafiki kwa wauguzi lakini ilimuradi wauguzi mahala walipo tunafanya kazi kwa ufanisi
Sambamba na hilo nilazima kulinda miiko , taaluma pamoja na maadili mahala pa kazi na hii inatusaidia kuhakikisha wauguzi wanafanya kazi vizuri na kwa uajibikaji na kuhakiksha wagonjwa wanapata stahiki zao mahala pa kazi
Nikirudi kwenye hutuba y mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwanza amejikuta anazungumzi kitu ambcho tulichokuwa tukikitaka sisi Wauguzi na maslahi ya wauguzi hayafaham lakini baad ya kusikiliza risala nikwamba amekwenda kuijibu kulingana na mahitaji ya wauguzi
Shida tetu Wauguzi nikuona kile kinacho endele kama haturidhiki nazo sauti yetu tuipaze kila mtu atusikilize na ndio maana siku yaleo haja yetu kubwa ilikuwa ni maslahi
Lakini zaidi ya maslhi tunahitaji pia kuona maamuzi yanayofanyika ya Wauguzi wenyewe tunashirikishwa, mfano kunakitu kimezungumzwa pale ambacho kinagusa maslahi ya Wauguzi ni swala la kuweka nyongeza ya makato ya leseni
Nilazima kama yapo mabadiliko niwajibu tupewe taarifa mapema na madiliako yakitokea miongoni mwetu tushirikishwe lakini kinacho tusikitisha wauguzi na tunchotuliza kila mwaka nikuona kwamba haijatokea kushirikishwa kuhusu kukatwa makato yetu lakini badala yake watu wana kaa bila kumshirikisha Muuguzi na mwisho wa yote kunakuwa hakuna mjibu alisema Nyamtogota;
Tunailalamikia Bodi ambayo ni Baraza letu la Wauguzi (TNMC) ambao ndio wasimamizi wakuu ambapo wanapokuwa wanafanya mabadiliko yoyote yale watushirikishe sisi maana sisi ndio tuna umia wahang namba moja
Mwisho wa siku tunakwenda tunakwenda pamoja maana wao ni Baraza na sisi ni Wauguzi ambao ni watekelezaji wamajukum yote ya Kiuguzi hapa Tanzania lakini nimpengeze Mkuu wa Mkoa kwa niaba yangu na kwa Wauguzi wote kwa yale ambayo aliyoyazungumza kwa hakika tumemsikia n tumemuelewa na tumefurahi
Kama mamboyetu yatafanyiwa kazi basi wauguzi wote na tuombe sana maswala haya yasiingiliwe na wana Siasa kwani tunchokitaka nikuona tunungwa mkono kwa kila jambo na tunasonga mbele kama Wauguzi kwa ajili ya kulinda nchi yetu na kwa ajili ya kujenga Nchi yetu asante sana.
Naye afisa Muuguzu Mwandaimizi Hospitali ya Singida Julita Kimaro alisema; kwa hakika kwa siku ya leo tumefurahi na tumefarijika kwa mazungumzo ya mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtakaametugusa wauguzi na nilitamani tuongee naaye mpaka kesho kwakweli Mheshimiwa kupitia Kongamano hili tunaomba Serikali iangalie maboresho katika Sekta hii ya wauguzi
Mheshimiwa Waziri wa Afya popote ulipo kupitea mgeni rasmi uliyemteua kuja kuzungumza na wauguzi niimani yetu tutatekelezewa kilio chetu kwa mambo mbalimbali, Waziri tusikie na Rais wetu Magufuli tusikieni
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇