LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2019

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA OFISI YAKE JIJINI DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais wa Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene alipowasili Katika Majengo ya Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma leo October 05,2019 kwa ajili ya kuzungumza na Menejment ya Ofisi yake.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejment ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Katika Kikao cha kazi Ikiwemo Utekelezaji wa Miradi ya Mazingira, Kikao hicho kimefanyika leo October 05,2019 Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Rasilimali Watu Katika Ofisi ya Makamu Muungano na Mazingira Bibi. Emma Lyimo alipowasili Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mtumba Jijini Dodoma leo October 05,2019 kwa ajili ya kuzungumza na Menejment ya Ofisi yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Katika picha ya pamoja na Viongozi wa Menejment ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira baada ya kuzungumza na Viongozi hao Mtumba Jijini Dodoma leo October 05,2019. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages