LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 18, 2019

KAFULILA AMFAGILIA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA MIRADI MIKUBWA BILA KATIBA MPYA



KATIBU Tawala wa Mkoa wa Songwe, David Kafulila, ameifagilia Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli,  kutekeleza mambo makubwa ambayo wengi walidhani hayawezi kufanyika bila kuwa na Katiba Mpya.

Ameyataja mambo hayo makubwa kuwa ni;  ujenzi wa Reli ya Kisasa ya  SGR, Ujenzi wa Mradi mkubwa wa Umeme wa Mwalimu Nyerere wa Rufiji, ununuzi wa ndege,uboreshaji wa huduma za afya,nidhamu serikalini na mengine mengi.

“Leo JPM anafanikisha bila Katiba Mpya.Ni wazi Watanzania wakiulizwa sababu za kudai Katiba mpya sasa zitapishana na walizotoa mwaka 2014, kwani yapo baadhi walidhani yanahitaji Katiba lakini yamefanyika bila katiba mpya,” amesema Kafulila.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages