LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 23, 2019

GARI LIKIWA LIMEPATA AJALI

 Askari wa Usalama Barabarani (kushoto waliovaa makoti ya rangi ya daki bluu) wakiwa na Wananchi wakiangalia ajali ya Gari lenye namba za Usajili T 766 CVK CANTER likiwa limebeba mabox eneo la Mivinjeni Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana Oktoba 22, 2019, Baada ya Askari wa Usalama Barabarani kulisimamisha Gari lenye namba za Usajili T 648 DJG na kujikuta anagongwa kwa nyuma na  gali hilo lenye namba za Usajili T 766 CVK. (PICHA ZOTE NA KHMISI MUSSA)
 Wananchi eneo la Mivinjeni Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana Oktoba 22, 2019 wakishuhudi ajli ya Gari lenye namba za Usajili T 766 CVK CANTER likiwa limepata ajali baada ya Askari wa Usalama Barabrani kulisimamisha Gari lenye namba za Usajili T 648 DJG nakujikuta anagongwa kwa nyuma na gari lenye namba za Usajili T 766 CVK . 

 Wananchi wakitoa mabox hayo na kuweka pembeni 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages