LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 19, 2019

ERDOGAN AMPOKEA MAKAMU WAZIRI MKUU WA QATAR

ErdoÄźan ampokea makamo waziri mkuu wa QatarRais wa Uturuki Recep Tayyip ErdoÄźan, amempokea makamu waziri mkuu wa Qatar ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa nchi hio Sheikh Muhammed bin Abdurrahman bin Casim El Sani.
Wawili hao walifanya mkutano wa ndani ambao haukuruhusiwa wanahabari, mkutano huo ulifanyika kwenye kasri la Huber lililopo Tarabya Istanbul na ulidumu kwa muda wa saa 1 na dk 25.
Mkutano huo ulihudhuriwa pia na waziri wa hazina na uchumi wa Uturuki, Berat Albayrak na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Mevlüt Çavuşoğlu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages