LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 25, 2019

WAZIRI MKUU AWASILI IRINGA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ali Happy wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 24, 2019.  Kushoto ni Mwenyekiti w CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt Abel Nyamahanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages