LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 22, 2019

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA WIYALAYA GEITA

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Geita katika kijiji cha Nzela, Septemba 21, 2019.
Majaliwa akitazama baadhi ya vifaa tiba vilivyopatikana kutokana na juhudi za  mbunge wa Geita vijijini, Joseph Msukuma (kulia) kwa ajili ya  hospitali ya wilaya ya Geita iliyopo katika kijiji cha Nzela, wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo na kuzungumza na wananchi Septemba 21, 2019. Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa wilya ya Geita, Deo Kisaka.

Vijana wa kijiji cha Nzela katika jimbo la Geita Vijijini wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza na wananchi baada ya kuakagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Geita, Septemba 21, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages