LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2019

RAIS WA ZAMANI WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE KUZIKWA JUMAPILI IJAYO

  Mwili wa Robert Mugabe utarejeshwa nchini kutoka     Singapore alikofariki wakati alipo kuwa akipatiwa matibabu   ambapo anatarajiwa kuzikwa jumapili ijayo

Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe atazikwa kwenye makaburi yalioko kwenye kilele cha kilima, ambayo yamehifadhiwa makhsusi kwa watawala wa 
Zimbabwe.

Mugabe aliyefariki akiwa na miaka 95 atazikwa katika makaburi ya mashujaa wa kitaifa kulikotengwa kwa raia wa zimbabwe waliyochangia pakubwa wakati wa vita dhidi 
ya utawala wa wazungu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages