LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 12, 2019

RAIS MAGUFULI APOKEA MAGARI 40 KATIKA MAKABIDHIANO YA MAGARI YA JWTZ.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping kwa kuuendeleza ushirikiano na uhusiano mzuri wa Tanzania na China ikiwemo misaada na uwekezaji ambao China inaufanya hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages