LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 15, 2019

MKUTANO MKUU WA WAUGUZI SACCOS LTD WAPITISHA BAJETI YA MAPATO NA MATUMIZI MWAKA 2020

 Mwenyekiti wa Bodi ya WAUGUZI SACCOS LTD, Capt Adam Leyna akizungumza na Wanachama Wauguzi wa Chama hicho (hawapo pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano kwa ajili ya kujadili mwenendo mzima wa chama na kupitisha Bajeti ya mapato na matumizi ya 2020 ikiwa na wanachama kusomewa taarifa za ukaguzi wa hesabu za chama uliofanyika Septemba 14, 2019 katika Jego la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili. kulia ni Mwenyekiti wa muda wakuchaguliwa na wanachama kwaajili ya kuendesha Mkutano Mkuu wa chama hicho. Caroline Lissu (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA ) 
  Mwenyekiti wa Bodi ya WAUGUZI SACCOS LTD, Capt         Adam Leyna akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano kwa ajili ya kujadili mwenendo mzima wa chama na kupitisha Bajeti ya mapato na matumizi ya 2020 ikiwa na wanachama kusomewa taarifa za ukaguzi wa hesabu za chama uliofanyika Septemba 14, 2019 katika Jego la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili. kuanzia (kulia) ni Afisa Ushirika Wilaya ya Kinondoni na Msimamizi mlezi wachama hicho cha ushirika, Scola Maganga na Mwenyekiti wa muda wakuchaguliwa na wanachama kwaajili ya kuendesha Mkutano huo Mkuu wa chama hicho. Caroline Lissu
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Paul Magesa akizungumza na Wauguzi wanachama wa SACCOS LTD wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano kwa ajili ya kujadili mwenendo mzima wa chama na kupitisha Bajeti ya mapato na matumizi ya 2020 ikiwa na wanachama kusomewa taarifa za ukaguzi wa hesabu za chama uliofanyika Septemba 14, 2019 katika Jego la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
Wanachama Wauguzi wa SACCOS LTD wakimsikiliza kwa makini Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA)  Paul Magesa (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza jambo katika Mkutano wa Tano Mwaka uliofanyika Septemba 14, 2019 katika Jego la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Bodi ya WAUGUZI SACCOS LTD, Capt Adam Leyna (kulia) akiwasomea Wanachama wa SACCOS LTD  ripoti ya Chama hicho
Baadhi ya wanachama wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya WAUGUZI SACCOS LTD, Capt Adam Leyna (hayupo pichani) wakati alipokuwa akiwasomea Wanachama hao ripoti ya Chama hicho 

Afisa Muuguzi Msaidizi Hospitali ya Mawenzi (RRH) Romana Olomi akichangia mada wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano kwa ajili ya kujadili mwenendo mzima wa chama na kupitisha Bajeti ya mapato na matumizi ya 2020
Afisa Muuguzi Hospitali ya Jeshi Lugalo Martha Kilonzo akichangia mada wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano kwa ajili ya kujadili mwenendo mzima wa chama na kupitisha Bajeti ya mapato na matumizi ya 2020 ikiwa na wanachama kusomewa taarifa za ukaguzi wa hesabu za chama uliofanyika Septemba 14, 2019 katika Jego la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha SACCOS ya Wauguzi wakisikiliza kwa umakini wakati Afisa Muuguzi Hospitali ya Jeshi Lugalo Martha Kilonzo alipokuwa akichangia mada katika Mkutano huo
Mkaguzi Mwanamizi Shirika la Ukaguzi wa vyama Ushirika Tanzania Brighto Mwang'onda akifafanua jambo katika Mkutano Mkuu wa Tano wa SACCOS LTD ya Wauguzi uliofanyika Septemba 14, 2019 Dar es Salaam
Afisa Ushirika Wilaya ya Kinondoni na Msimamizi mlezi wachama hicho cha ushirika, Scola Maganga

   Wanachama Wauguzi wa SACCOS  wakiinua mikono kwa ishara ya kuipitisha bajeti ya Mikopo wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano uliofanyika Septemba 14, 2019.

Mwenyekiti Kamati ya Mikopo na Kaimu Mkurugenzi wa Wauguzi MOI, Fidelis Minja (kulia) akiwasomea wanachama ripoti ya mapato na matumizi katika Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika Septemba 14, 2019.
Baadhi ya Viongozi wakiwa katika picha ya Pamoja





 Mwenyekiti wa muda wakuchaguliwa na wanachama wa chama cha Wauguzi SACCOS LTD kwaajili ya kuendesha Mkutano Mkuu wa chama hicho. Caroline Lissu akifunga mkutani huo, kuanzi kulia ni Afisa Ushirika Wilaya ya Kinondoni na Msimamizi mlezi wachama hicho cha ushirika, Scola Maganga na Mwenyekiti wa Bodi ya WAUGUZI SACCOS LTD, Capt Adam Leyna
 Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja  na Wanachama  WAUGUZI SACCOS LTD 

 Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja  na Wanachama  WAUGUZI SACCOS LTD 
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja  na Wanachama  WAUGUZI SACCOS LTD 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages