Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Sept 25,2019 ameshiriki Kwenye shuhuli ya kuaga Mwili wa Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Nelson Mabeyo aliyefariki kutokana na ajali ya Ndege, Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Jenerali Venance Mabeyo Msasani Jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa baadaye kuelekea Mwanza kwa mazishi.
Your Ad Spot
Sep 25, 2019
Home
featured
habari picha
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU NELSON MABEYU, MTOTO WA MKUU WA MAJESHI TANZANIA
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU NELSON MABEYU, MTOTO WA MKUU WA MAJESHI TANZANIA
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot







No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇