LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 25, 2019

CHINA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA USAFIRI WA TRENI

Tazama jinsi usafiri wa treni nchini China ulivyobadilika! Picha ya kwanza (Chini) ilipigwa mwaka wa 1990 na ya pili Juni 2019.

Treni hizi zilikuwa zinafanyiwa mguso wa mwisho katika kituo cha kuunda treni cha Changchun, kabla ya kuanza usafiri wao! Treni katika picha ya pili ni za kisasa na zinaendeshwa kwa mwendo wa kasi wa kilomita 600 kwa saa.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages