Sep 12, 2019

KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU MSTAAFU OFISI YA WAZIRI MKUU



Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kulia) akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kushoto) akisalimiana na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma


Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kushoto) katika picha ya pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea leo Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages