Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzani (TAPAMA) ambae alimuwakilisha Spika Ndugai, Mhe. Dkt. Raphael Chegeni (Kushoto)akiongozana na Kiongozi wa Msafara wa ma cha Wabunge kutoka Uingereza n a Ujerumani, Ndg. Jeremy Lefroy baada ya kutembelea Ukumbi wa Bunge Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA), Mhe. Dkt. Raphael Chegeni akizungumza na Wabunge kutoka Chama cha Wabunge cha Kupambana na Malaria na Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele Tanzania (TAPAMA) na Chama cha Wabunge kutoka Uingereza na Ujerumani katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Dkt. Chegeni alimuwakilisha Spika Ndugai katika mazungumzo hayo
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇