LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 20, 2019

DC JOKATE AKAMATA MKAA NA MBAO ZA MAGENDO USIKU










 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amethibitisha kuwa usiku huu katika kituo cha Pugu Mwakanga Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kisarawe imekamata treni ya TAZARA iliyokuwa imebeba mazao ya misitu.
DC Jokate amesema mazao hayo ni mkaa na mbao ambapo wamebeba kinyume na utaratibu huku wakiwa hawana vibali na hawajalipia ushuru pia wamepita kwa njia ya utoroshaji usiku huu.
Hivyo Serikali ya Wilaya imewameshikilia Train Operator kwa maana ya dereva wa treni na Train Guider kwa kuibia Serikali.
  

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages