LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2019

BUNGE KUENDESHWA KWA MFUMO WA KIDIGITALI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, leo Septemba 12.2019. kushoto ni  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12. 2019.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages