LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 12, 2019

WAZIRI MKUU AACHA UJUMBE KWA VIONGOZI MKOA WA MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kujenga uzio utakaotambulisha eneo lililozikwa miili ya watu waliopata ajali ya kuungua  moto na kuteketea  baada ya lori la mafuta kulipuka katika eneo la msamvu manispaa ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages