LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 26, 2019

RAIS WA CONGO ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZILI

  Rais FĂ©lix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la mawaziri    katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

Serikali ya kwanza ya rais FĂ©lix Tshisekedi imetangazwa leo Kinshasa, baada ya kusubiriwa kwa miezi saba.

Katika serkali hiyo mpya, wanawake wamepewa asilimia kumi na saba ya mawiziri na wanaume asilimia 83.

Mnamo Julai mwaka huu Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi na mtangulizi wake Joseph Kabila walikubaliana kuunda serikali ya muungano.

Walikubali kuunda serikali itakayo kuwa na mawaziri 66.

Kama walivyo kubaliana, chama cha rais huyo wa zamani sasa kimepata wizara 43, na kile cha rais FĂ©lix Tshisekedi kimejinyakulia wizara 23.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages