Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.
Majaji wastaafu wakizungumza jambo wakati wa mhadhara uliongoongozwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia maendeleo ya nchi za Jumuiya za Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) mapema leo Agosti 15, 2019.
Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stagomena Tax akizungumza katika mhadahara uliokuwa ukielezea historia na jinsi SADC ilivyoweza kusonga mbele, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Wimbo wa Taifa ukiimbwa...
Wageni waalikwa.
Meza kuu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇