Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika mazungumzo na mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulujijini Dar es Salaam.
Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha mke wa Rais wa Afrika Kusini Dkt. TshepoMotsepe-Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulujijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇